Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bw. Joel Laurent akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam kuhusu mikakati ya mamlaka hiyo katika kuboresha sekta ya elimu hapa nchini kupitia Mfuko wa Elimu. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage.

 

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bw. Joel Laurent (wa pili kulia) wakitiliana saini makubaliano ya ufadhili wa Shilingi Millioni 300 uliotolewa na TEA kwa ajili ya kutekeleza mradi wa ujenzi wa ofisi na kutengeneza mitaala.  Kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa chuo hicho Prof. Msafiri Jackson na kulia ni Mkurugenzi Uratibu na Ufadhili Miradi wa TEA Bibi Anna Magalla.

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage akitoa shukrani kwa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa ufadhili huo.

 

 

Follow Us on

Physical Address

MJNUAT
P.O.Box 976
Musoma (HQ) - Tanzania
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Web: www.mjnuat.ac.tz

Mob:+255767795772

Webmails